ProMasika link

WAFANYABIASHA WAOMBWA KULIPA KODI KWA HIYARI KUHARAKISHA MAENDELEO YA NCHI {Promasika}

Promasika.Com

Maofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania - TRA wakishirikiana na Bodi ya Mapato Zanzibar - ZRB walifanya Mazungumzo na Mkuu wa Mkoa Kaskazin Unguja Mh. ayoub Mohamed Mahmoud na kuwashkuru TRA na ZRB Kwa kufika katika Mkoa wake 6/12/2021

Pia Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud amewaomba Wafanyabiashara kulipa kodi Kwa hiyari Kwa maendeleo ya nchi vilevile nakutoa agizo Kwaupande wa uongozi wa serekali za mitaa masheha na Baraza la miji kila mwenye uhitaji wa leseni ya biashara afike TRA kwanza kupata Tax clearance kabla kupatiwa leseni hiyo ya biashara hii itasaidia serekali kukusanya kodi hio

Pia Mkuu wa Mkoa Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud amewashkuru TRA na ZRB Kwa kuweza kufika katika Mkoa wake na kutoa elimu hio ya kodi mlango Kwa mlango na kuwaomba wawavute wafanyabiashara hasa Kwa upande wa utalii na uvuvi ni lipi jukumu lao Kwa serekali ili waweza kutekeleza.



Mkuu wa mkoa kaskazini Unguja Mh. Ayoub Mohamed Mahmoud


Maofisa wa TRA na ZRB wakifanya mazungumzo na Mkuu wa Mkoa kaskazini unguja



Mkuu wa mkoa wa kaskazini Unguja pamoja na Maofisa wa TRA na ZRB​

Promasika.Com Systems™
Enjoy!.

Download

 Download

No comments

Powered by Blogger.